Waziri wa Maliasiri na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangala, akinyakuwa pamoja na vijana wa jeshi
la akiba kata ya Ndala Wilayani Nzega.
Waziri wa Maliasiri Utalii Dk. Hamisi Kigwangala akiwa
katika picha ya pamoja na viongozi wa chama cha amapinduzi CCM Mkoa na walia
wakati wakiomba dua.
Waziri wa Maliasiri na Utalii Dk. Hamisi Kigwangala akiombewa
dua ya kijadi na waswezi katika kumukabidhi kwa Miuungu ili iendelee kumlinda
katika hatari ote anaokutana nao. (Picha zote na Hastin Liumba).
Na Hastin Liumba, Tabora
WAZIRI wa Maliasiri na Utalii Dk.Hamis Kigwangara amewataka
walikuwa wanamuombea kfa katika ajli aliyoipata kusubili kwanza kwa uwa kifo ni
Mpango wa Mungu wala binadamu haiwezi kufanya chochote.
Ametoa kauli hiyo alipokuwa akimbewa dua katika viwanja vya
kata ya Ndala Wilayani nzenga ikiwa ni mara yak e ya kwanza kurudi jimboni
kwake tangu alipopata ajali.
Alisema kwa sasa bado nipo nipo kwanza kwani Mungu yupo upande
wangu hivyo walikuwa wakiniombea mabaya hata ama wawe na uchai kiasi gani na
pesa kiasi gani kwangu ni bure kwa kuwa namtegemea pekee kuningoza na
kunilinda,
Aidha alisema wakati nachukuwa jimbo hili katika kura za maoni
nilikuwa shindig wa tatu lakini kwa kuwa ni pango wa mungu mimi niwe mbunge ni
kawa kweli mbunge,nikateuliwa kuwa naibu waziri na hatimaye nimekuwa Waziri
kamili na sijui hapobaadye nitakuwa nani.
Alisema wakati Napata ajali nilikuwa naona kila kitu lakini
baada ya mda kidogo niliona utuufu wa Mungu wala sikufahamukinachondelea tena
ambapo mimi kama dakitari nafahamu kwa ajili kama ile inlipaswa nipate huduma
kwa mda wa dakika 45 lakini nilipata huduma ya kwanza baada ya masaa 8.
Alisema ilikuwa sio rahisio kwa madakitari kurudisha pumzi ya
uhai wangu kama si mpango wa Mungu pekee aliyesimama upande wangu licha ya
ukweli madaktari walifanya kila linalowezekana mpaka kunikoa.
Nawashukuru sana madaktari wa Hospitari ya Mkoa wa Arusha
Mount Meru sina namna ya kuwalipa zaidi ya kuwashukuru pamoja na waauguzi wote
walionisaidia kwa kila namna kuhakikisha narudisha uhai wangu.
Katika hili kuona bado nip hai natoa sadaka kwa kusomesha
wanafunzi 10 katika Chuo cha cha Afya bila kutozwa chochote,nitalpia bima za
wazee,nitawsomesha watoto ambao wabaishi katika mazingira magumu kwani sijui
mpaka leo mungu anampango na mimi.
No comments:
Post a Comment