HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 04, 2018

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WATANO WATAKAOWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Ubelgiji hapa nchini Peter Van Acker Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa wa Ubelgiji hapa nchini Peter Van Acker mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Norway hapa nchini Elisabeth Jacobsen Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Balozi wa Norway hapa nchini Elisabeth Jacobsen kabla ya kuanza mazungumzo mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
  . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Norway hapa nchini Elisabeth Jacobsen Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Palestina hapa nchini Hamdi Abuali Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Palestina hapa nchini Hamdi Abuali Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Palestina hapa nchini Hamdi Abuali mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Pages