Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha
Nkwenda wilayani Kyerwa baada ya kukagua kiwanda cha kukoboa kahawa cha
Nkenda, Oktoba 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akiwasalimia wananchi katika mkutano
wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu ,Kassim Majaliwa kwenye uwanja
wa Kayanga Changarawe, Karagwe, Oktoba 7, 2018. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa zamani wa
Karagwe, Gozibert Blandes baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye
Uwanja wa Kayanga Changarawe, uliopo Karagwe, Oktoba 7, 2018. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment