HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 17, 2018

MAHAFALI YA 17 CHUO KIKUU MZUMBE


Brass Band ikiongoza maandamano.

Wanajumuiya ya Chuo Kikuu Mzumbe wakiingia kwa maandamano.

Wanajumuiya ya Chuo Kikuu Mzumbe wakiingia kwa maandamano.

Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta akiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka (mstari wa tatu kutoka kushoto), wakiingia kwa maandamano.

Mlau Prof. Binamungu akiongoza maandamano.

Maandamano.

Wanajumuiya ya Chuo Kikuu Mzumbe wakiingia katika eneo la kusanyiko la mahafali.

Wahitimu wa fani mbalimbali.

Baadhi ya wahitimu.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, akimkaribisha Mkuu wa Chuo hicho Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta kufungua rasmi mahafali ya 17. 
 
  Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta akifungua rasmi mahafali ya 17 Chuo Kikuu Mzumbe.

Mlau Prof. Binamungu akitoa nasaha zake kwa wahitimu.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka akitoa hotuba yake.
Mhitimu wa Shahada ya Uzamivu (Phd), Godfrey Ngaleya.
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta, akimtunuku Shahada ya Uzamivu (Phd), Dk. Godfrey Ngaleya wakati wa mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu Mzumbe yaliyofanyika mkoani Morogoro.
Mhitimu wa Shahada ya Uzamivu (Phd), Charles Raphael.

Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta, akimtunuku Shahada ya Uzamivu (Phd), Dk. Charles Raphael, wakati wa mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu Mzumbe yaliyofanyika mkoani Morogoro.
Mhitimu wa Shahada ya Uzamivu (Phd), Phoebe Nkinda (kushoto) akiwa na mpambe wake kabla ya kutunukiwa shahada yake.
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta, akimtunuku Shahada ya Uzamivu (Phd), Dk. Phoebe Nkinda, wakati wa mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu Mzumbe yaliyofanyika mkoani Morogoro.

Mwenyekiti wa Baraza Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Mathew Luhanga, akiteta jambo na Mkuu wa Chuo hicho Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta.

Meza Kuu.

Wanajumuiya wa Chuo Kikuu Mzumbe.

Baadhi ya wanajumuiya wa Chuo Kikuu Mzumbe.

Wahitimu wa Shahada ya Sheria wakiwa na mzuka kabla ya kutunukiwa shahada zao.

Wahitimu wa Shahada ya Sheria wakiwa na bashasha baada ya kutunukiwa shahada zao.

Wahitimu wa shahada mbalimbali wakiwa na furaha.

Mmoja wa wahitimu akionyesha furaha yake.

No comments:

Post a Comment

Pages