Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu
wa Rais wa Benki ya Dunia kwa Kanda ya Afrika Hafez Ghanem mara baada ya
kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Makamu
wa Rais wa Benki ya Dunia kwa Kanda ya Afrika Hafez Ghanem kabla ya kuanza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa
Rais wa Benki ya Dunia kwa Kanda ya Afrika Hafez Ghanem mara baada ya
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais
wa Benki ya Dunia kwa Kanda ya Afrika Hafez Ghanem Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia kwa Kanda ya Afrika Hafez Ghanem Ikulu jijini
Dar es Salaam aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia
kwa Kanda ya Afrika Hafez Ghanem watatu kutoka kushoto Ikulu jijini Dar es
Salaam. Wengine katika picha ni Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Bella
Bird wapili kutoka kushoto akifatiwa na Waziri wa Elimu Profesa Joyce
Ndalichako. Wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Dkt.
Augustine Mahiga pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba
Kabudi.
Makamu wa Rais wa Benki ya
Dunia kwa Kanda ya Afrika Hafez Ghanem akizungumza na wanahabari Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya
Dunia kwa Kanda ya Afrika Hafez Ghanem mara baada ya mazungumzo yao Ikulu
jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Mwakilishi Mkazi wa Benki ya
Dunia nchini Bella Bird wapili kutoka kushoto akifatiwa na Waziri wa Elimu
Profesa Joyce Ndalichako. Wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Nje Balozi
Dkt. Augustine Mahiga , Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi
pamoja na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu. Mstari wa nyuma wakwaza kushoto ni Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe, Katibu Mku Wizara ya
Fedha Doto James, Balozi Zuhuru Bundala pamoja na wageni wengine. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment