HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

November 02, 2018

NSSF YASHIRIKI WIKI YA MAONYESHO YA VIWANDA MKOA WA PWANI

 Meneja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mkoa wa Pwani, Linus Bwegoge, akimpa maelezo kwa Naibu Spika Dk. Tulia Ackson juu ya huduma zinazotolewa na NSSF alipotembelea banda la mfuko huo kwenye Wiki ya Maonyesho ya Viwanda Mkoa wa Pwani. 

 Ufafanuzi wa mafao yatolewayo na NSSF.
  Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkoani wakiuliza maswali.
Meneja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mkoa wa Pwani, Linus Bwegoge, akitoa maelezo ya huduma mbalimbali wanazotoa kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkoani iliyopo katika Halmashauri ya Mji wa Kibaha walipotembelea banda la NSSF kwa lengo la kujifunza na kupata taarifa zinazohusiana na mafao yatolewayo na mfuko huo kwenye Wiki ya Maonyesho ya Viwanda Mkoa wa Pwani.
 Meneja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mkoa wa Pwani, Linus Bwegoge (kulia), akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa NSSF katika Maonyesho ya Wiki ya Maonyesho ya Viwanda Mkoa wa Pwani.

No comments:

Post a Comment

Pages