Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa
Mshiriki Maalum, akizungumza na Wageni mbalimbali wakiwemo Wanafunzi wa Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam, Viongozi wa Kiserikali, Mabalozi kutoka nchi
mbalimbali, pamoja na wananchi
waliohudhuria katika Kongamano la Hali ya Uchumi na Siasa katika kipindi
cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Tano lililofanyika katika ukumbi wa
Nkuruma uliopo katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Baadhi ya
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam waliokuwa nje ya Ukumbi wa Nkuruma
wakifatilia Kongamano la Hali ya Uchumi na Siasa katika kipindi cha miaka
mitatu ya Serikali ya Awamu ya Tano kwa njia ya Luninga wakati Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa mshiriki Maalum
alipokuwa akizungumza katika ukumbi wa Nkuruma katika Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa
mshiriki Maalum katika Kongamano hilo akiandika baadhi ya Hoja katika Kongamano
hilo. PICHA NA IKULU
Baadhi ya
Washiriki wa Kongamano la Hali ya Uchumi na Siasa katika kipindi cha miaka
mitatu ya Serikali ya Awamu ya Tano wakisikiliza kwa makini wakati Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa
mshiriki Maalum alipokuwa akizungumza katika ukumbi wa Nkuruma katika Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa
mshiriki Maalum katika Kongamano hilo akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya
Wasichana ya Kisutu mara baada ya kutoka katika Ukumbi wa Nkuruma katika Chuo
kikuu cha Dar es Salaam.
Sehemu ya
Watoa Mada wakiwa Wanasikiliza michango mbalimbali iliyokuwa ikitolewa katika
Ukumbi wa Nkuruma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Wakwanza kushoto ni Profesa
Humphrey Moshi, Profesa Kitila Mkumbo, Makamu Mkuu wa Chuo Profesa William
Anagisye, Profesa Rwekaza Mukandala, Profesa Martha Qorro pamoja na Profesa
Hudson Nkotagu.
No comments:
Post a Comment