Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (kushoto) akisaini Mkataba
na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania, Arch. Elius Mwakalinga wa kuanza rasmi ujenzi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika mji wa serikali, Ihumwa jijini Dodoma.
Katibu Mkuu, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (kushoto) na
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania, Arch. Elius Mwakalinga wakipeana mikono kabla
ya kukabidhiana Mkataba wa kuanza rasmi ujenzi wa Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika mji wa serikali, Ihumwa
jijini Dodoma.
Katibu Mkuu, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro na
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania, Arch. Elius Mwakalinga wakionyesha Mkataba wa kuanza rasmi ujenzi wa Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika mji wa serikali, Ihumwa
jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment