HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 16, 2018

JUMUIYA YA WAZAZI KUANZISHA MRADI YA UFUGAJI NYUKI WA KIBIASHARA

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi, Dk. Edmund Mndolwa, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki wakati akitoa majumuhisho ya ziara ya kukagua uhai wa Jumuiya hiyo katika Mikoa ya Kanda ya Kaskazini ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Haidar Haji Abdulla. (Picha na Costancia Nkindi). 
  Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi, Dk. Edmund Mndolwa, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki wakati akitoa majumuhisho ya ziara ya kukagua uhai wa Jumuiya hiyo katika Mikoa ya Kanda ya Kaskazini ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara.
Baadhi ya wajumbe wakifuatilia mkutano huo.
Kufuatilia taarifa.
Mwenyekiti wa Jumuyia ya Wazazi Dk. Edmund Mndolwa (katikati), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uboreshaji wa Shule na Vyuo vyake, kuanzisha miradi mipya ya kiuchumi ikiwemo ufugaji wa nyuki kibiashara.

No comments:

Post a Comment

Pages