HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 07, 2018

TCAA YAADHIMISHA SIKU YA USAFIRI WA ANGA KIMATAIFA

Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Mbuttolwe Kabeta, akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa wizara hiyo wakati wa Maadhimisho ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Siku ya Kimataifa yenye kauli mbiu hakuna nchi itakayoachwa nyuma yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
 Wafanya kazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), wakiwa katika maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani.
  Baadhi ya wafanya kazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA),wakiwa katika maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani.

No comments:

Post a Comment

Pages