Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Mhe. Prof. Mussa Assad akishuka kwenye gari kuelekea kwenye kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuitikia wito wa tuhuma zinamkabili za kulidhalilisha Bunge, tukio lililotokea leo tarehe 21 Januari, 2019 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Mhe. Prof. Mussa Assad
akishuka kwenye gari kuelekea kwenye kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na
Madaraka ya Bunge kuitikia wito wa tuhuma zinamkabili za kulidhalilisha
Bunge, tukio lililotokea leo tarehe 21 Januari, 2019 katika viwanja vya
Bunge Jijini Dodoma.
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za
Serikali, Mhe. Prof. Mussa Assad (kulia) akisindikizwa na Msaidizi wa
Mpambe wa Bunge, Ndg. Leonard Bushiri kuelekea kwenye kamati ya Bunge ya
Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuitikia wito wa tuhuma
zinazomkabili za kulidhalilisha Bunge, tukio lililotokea leo tarehe 21
Januari, 2019 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Mkaguzi
na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Mhe. Prof. Mussa Assad akiingia
kwenye kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuitikia
wito wa tuhuma zinazomkabili za kulilidhalilisha Bunge, tukio
lililotokea leo tarehe 21 Januari, 2019 katika ofisi za Bunge Jijini
Dodoma.
No comments:
Post a Comment