Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais mstaafu wa
Nigeria Olusegun Obasanjo mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais
mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Rais mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo mara baada ya kuwasili Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais mstaafu wa
Nigeria Olusegun Obasanjo mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini
Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment