Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania Bw. Sunil
Colaso baada ya makubaliano mapya ya ubia kati ya serikali itayokuwa na
asilimia 49 na Airtel yenye asilimia 51 kwenye hafla fupi iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 15, 2019. Katikati ni Waziri wa
Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na Mwenyekiti wa kampuni ya Bharti Airtel Bw. Sunnil
Mittal baada ya kutiwa saini kwa makubaliano mapya ya ubia kati ya
serikali itayokuwa na asilimia 49 na Airteml asilimia 51 kwenye hafla
fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 15, 2019.
Katikati ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi.
DONE DEAL: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akishuhudia Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba
Kabud akipeana mikono na Mwenyekiti wa kampuni ya Bharti Airtel Bw.
Sunnil Mittal baada ya kutiwa saini kwa makubaliano mapya ya ubia kati
ya serikali itayokuwa na asilimia 49 na Airtel asilimia 51 kwenye hafla
fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 15, 2019.
Katikati ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimpongeza Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi
aliyeongoza timu ya Serikali katika mazungumzo na kampuni ya Bharti
Airtel katika kufikia makubaliano mapya ya ubia kati ya serikali
itayokuwa na asilimia 49 na kampuni hiyo asilimia 51 kwenye hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 15, 2019. Wengine ni
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Katibu Mkuu wizara ya Fedha na
Mipango Bw. Doto James, Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal
na ujumbe wake pamoja na ujumbe wa serikali.
FURAHA YA MAKUBALIANO MUAFAKA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mwenyekiti wa kampuni ya
Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal na ujumbe wake pamoja na ujumbe wa
serikali baada ya kupata picha ya pamoja ya kumbukumbu ya kutiwa saini
kwa makubaliano mapya ya ubia kati ya serikali itayokuwa na asilimia 49
na Airteml asilimia 51 kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar
es salaam leo Januari 15, 2019. Katikati ni Waziri wa Sheria na Katiba
Profesa Palamagamba Kabudi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akishuhudia Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabud na
Mwenyekiti wa kampuni ya Bharti Airtel Bw. Sunil Mittal wakitia saini
makubaliano mapya ya ubia kati ya serikali itayokuwa na asilimia 49 na
Airtel na asilimia 51 kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar
es salaam leo Januari 15, 2019. Katikati ni Waziri wa Sheria na Katiba
Profesa Palamagamba Kabudi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimsindikiza Mwenyekiti wa kampuni ya Bharti
Airtel Bw. Sunil Mittal baada ya kushuhudia zoezi la kutiwa saini kwa
makubaliano mapya ya ubia kati ya serikali itayokuwa na asilimia 49 na
Airtel na asilimia 51 kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam leo Januari 15, 2019. Katikati ni Waziri wa Sheria na Katiba
Profesa Palamagamba Kabudi. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment