HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 31, 2019

ZAHERA, MAKAMBO WALAMBA TUZO

Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera na Mchezaji wake Heritier Makambo wakiwa na tuzo zao baada ya kuibuka Kocha Bora na Mchezaji Bora wa Desemba 2018 katika tuzo hizo zinazotolewa na waendeshaji wa mchezo wa kubashiri matokeo wa Bikosports. Makabidhiano hayo yamefanyika jijini Dar es Salaam juzi. (Na Mpiga Picha Wetu).

No comments:

Post a Comment

Pages