HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 16, 2019

YANGA YAPIGWA KIMOJA NA SIMBA

 Mashabiki wa Simba wakishangilia kabla ya kuanza mchezo wa Ligi Kuu uliozikutanisha Yanga na Simba Uwanja wa Taifa Februari 16, 2019. Simba imeshinda 1-0. (Picha na Francis Dande).
Meddie Kagere, akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee la ushindi katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Yanga. 

Mfungaji pekee wa goli la Simba dhidi ya Yanga, Meddie Kagere (kushoto), akipongezwa na wachezaji wenzake.

 Furaha ya ushindi.

Wachezaji wa Simba wakishangilia ushindi baada ya kuifunga Yanga bao 1-0.
 Kikosi cha Simba kilichoanza.
Kikosi cha Yanga kilichoanza.
 Moja ya hekaheka katika lango la Yanga.




No comments:

Post a Comment

Pages