Rais wa Awamu ya Nne Dk. Jakaya Kikwete akitia saini daftari la waombolezaji katika msiba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Uzalishaji Vipindi wa Clouds Media Group (CMG), Ruge Mutahaba aliyefariki dunia nchini Afrika Kusini. Kushoto ni mkewe Salma Kikwete na kulia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza.
Rais
wa Awamu ya Nne Dk. Jakaya Kikwete, akizungumza na waandishi habari
kuhusu maisha aliyoyaishi aliyekuwa Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Vipindi
wa Clouds, Ruge Mutahaba.
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Vipindi Clouds Media Group, Ruge Mutahaba.
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, akisaini kitabu cha maombolezo.
Waziri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, Edward Lowassa, akiteta jambo na baba mzazi wa marehemu Ruge Mutahaba, Prof. Gerasi Mutahaba, alipokwenda kutoa pole kwa familia yake.
Waziri
Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, Edward Lowassa, akizungumza na famailia ya Ruge Mutahaba akiwemo baba yake mzazi Prof. Gerasi Mutahaba (kulia),
alipokwenda kutoa pole.
Mbunge wa Mtama, Nape
Nnauye akizungumza na mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msingwa.
Baadhi ya waombolezaji.
Mbunge wa Mtama, Nape
Nnauye, akimpa pole Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga. Msanii wa vichekesho Joti akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye pamoja.
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akizungumza na Mbunge wa Nzega, Hussein Bashe.
Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa (katikati), akibadilishana mawazo na Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe (kulia) na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Chadema-Zanzibar, Salum Mwalimu.
Baadhi ya waombolezaji.
No comments:
Post a Comment