Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison
Mwakyembe akiangalia eneo lilotumiwa na wakoloni wa Kijerumani eneo la Kilima Tindewakati wa ukoloni akiwa
katika ziara ya kikazi katika mkoa wa Singida kwa ajili ya kutembelea maeneo ya
historia ya ukombozi wa Bara la Afrika ikiwa ni mikakati ya kuhamasisha
viongozi na wananchi kutunza, kuhifadhi na kuyaendeleza maeneo hayo kwa
matumizi ya kizazi cha sasa na kijacho. (Picha na WHUSM -Singida
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.
Harrison Mwakyembe akisoma moja ya kaburi la wakoloni wa Kijerumani eneo la Kilima Tindewakati akiwa katika ziara ya kikazi katika mkoa wa
Singida kwa ajili ya kutembelea maeneo ya historia ya ukombozi wa Bara la
Afrika ikiwa ni mikakati ya kuhamasisha viongozi na wananchi kutunza, kuhifadhi
na kuyaendeleza maeneo hayo kwa matumizi ya kizazi cha sasa na kijacho.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison
Mwakyembe (kushoto) akiangalia handaki lilotumiwa na wakoloni wa
Kijerumani eneo la Kilima Tindewakati wa
ukoloni akiwa katika ziara ya kikazi katika mkoa wa Singida kwa ajili ya
kutembelea maeneo ya historia ya ukombozi wa Bara la Afrika ikiwa ni mikakati
ya kuhamasisha viongozi na wananchi kutunza, kuhifadhi na kuyaendeleza maeneo
hayo kwa matumizi ya kizazi cha sasa na kijacho.
No comments:
Post a Comment