HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 30, 2019

MBIO ZA CRDB BIMA MARATHON ZAFANA DAR

Wakimbiaji wa mbizo za CRDB Bima Marathon Km 10 wakianza mbizo hizo zilizoandaliwa na Benki ya CRDB kupitia Kampuni yake tanzu ya Bima.

Wakimbiaji wa mbio za KM 10 wakijiandaa kutimua mbio za CRDB Bima Marathon katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Wakimbiaji wa mbio za KM 10 wakijiandaa kutimua mbio za CRDB Bima Marathon katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Washiriki wa mbio za KM 10.

Wadau mbalimbali waliojitokeza katika mbio za CRDB Bima Marathon wakikimbia mbio za KM 10.

Wadau mbalimbali wakikimbia mbio za KM 10.

Baadhi ya washiriki wa Bima Marathon wakikimbia mbio za KM 10.

Baadhi ya washiriki wa mbio za KM 10.

Baadhi ya wakimbiaji wakikimbia mbio za CRDB Bima Marathon KM 10 zilizoanzia katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam na kuishia katika viwanja hivyo.
Baadhi ya wakimbiaji wa mbio za CRDB Bima Marathon KM 10 wakikimbia mbio hizo zilizoanzia katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam na kuishia katika viwanja hivyo.
Mmoja wa wakimbiaji wa mbio za KM 10 akipokea medali yake.

Meneja Mkuu wa Kampuni tanzu ya Bima ya CRDB, Arthur Mosha, akivishwa medali baada ya kumaliza mbio za KM 10.


Zoezi la upimaji afya bure likiendelea.

Baadhi ya viongozi na maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja.





Mshindi wa kwanza wa mbio za CRDB Bima Half Marathon ‘Km 21’ kwa Wanawake, Sara Hiiti wa Rift Valley Club ya Manyara akipokea hundi ya shilingi milioni moja kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kampuni tanzu ya Bima ya CRDB, Arthur Mosha, zilizofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.

Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wakwanza mpaka watatu kwa upande wa wanawake waliokimbia KM 21.

Mshindi wa kwanza kwa Wanaume KM 21, Michael Kishimba wa JKT Arusha, akipokea zawadi yake kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kampuni tanzu ya Bima ya CRDB, Arthur Mosha, baada ya kushika nafasi ya kwanza KM 21.

Zaituni Mchatta (kulia) na Mariastela Njau wakionyesha medali zao baada ya kumaliza mbio za KM 10.

No comments:

Post a Comment

Pages