Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst)
George Mkuchika (Mb) akimsikiliza Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea
nyumbani kwake jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa
majukumu yake. Kulia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb).
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst)
George Mkuchika (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi
alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya
utekelezaji wa majukumu yake. Wa kwanza kulia ni Naibu
Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb), wa pili kushoto ni Mama Siti Mwinyi na wa kwanza kushoto ni Afisa anayesimamia Dawati la Viongozi Wastaafu wa Kitaifa, Bi. Nyasinde Mukono.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst)
George Mkuchika (Mb) akiteta jambo na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi
alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya
utekelezaji wa majukumu yake.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst)
George Mkuchika (Mb) akifafanua jambo kwa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi
alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya
utekelezaji wa majukumu yake. Kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb).
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst)
George Mkuchika (Mb) akizungumza na watoto wa Hayati Baba wa Taifa,
Mwalimu Julius Nyerere alipomtembelea Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria
Nyerere nyumbani kwake jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya
utekelezaji wa majukumu yake. Wa kwanza kulia ni Andrew Nyerere na wa
kwanza kushoto ni Magige Nyerere. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb).
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst)
George Mkuchika (Mb) akimsikiliza Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria
Nyerere alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam ikiwa ni
sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake. Kulia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb).
Afisa
anayesimamia Dawati la Viongozi Wastaafu wa Kitaifa, Bi. Nyasinde
Mukono, akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George
Mkuchika (Mb) na Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere wakati wa
ziara ya kikazi ya Mhe. Mkuchika ya kuwatembelea Viongozi Wastaafu wa
Kitaifa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst)
George Mkuchika (Mb) akimsikiliza Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria
Nyerere alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam ikiwa ni
sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake. Kulia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb).
No comments:
Post a Comment