Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Waziri wa
Mambo ya Nje wa Urusi Mikhail Bogdanov kabla ya kuanza mazungumzo Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Mikhail Bogdanov ambaye aliambatana na ujumbe
wake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Naibu Waziri wa Mambo
ya Nje wa Urusi Mikhail Bogdanov zawadi ya Kinyago cha Mpingo kabla ya
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa
Urusi Mikhail Bogdanov zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro kabla ya mazungumzo
yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuonesha Naibu Waziri wa Mambo
ya Nje wa Urusi Mikhail Bogdanov picha ya Mlima Kilimanjaro ambayo alimkabidhi
kama zawadi kabla ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Kitabu chenye Mambo ya
Urusi alichopewa zawadi na Naibu Waziri
wa Mambo ya Nje wa Urusi Mikhail Bogdanov Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Waziri wa Mambo
ya Nje wa Urusi Mikhail Bogdanov mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Mikhail Bogdanov watano
kutoka kushoto, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa
Palamagamba Kabudi watano kutoka kulia, Balozi wa Tanzania nchini Urusi Meja
Jenerali mstaafu Simon Mumwi watatu kutoka kulia, Balozi Zuhura Bundala wapili
kutoka kushoto pamoja na Maofisa wengine kutoka nchini Urusi Ikulu jijini Dar
es Salaam. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment