Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Spika wa Bunge
la Tanzania, Tulia Ackson (kulia), na Mbunge wa Sumve,
Richard Ndasa Bungeni jijini Dodoma Aprili 17, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Wawi (CUF)
Ahmed Ngwali, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma Aprili 17,
2019. Katikati ni Mbunge wa Mafinga Cosato Chumi. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa viti Maalum,
Upendo Peneza, Bungeni jijini Dodoma Aprili 17, 2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungunza na Mbunge wa Mtwara Mjini
(CUF), Maftah Nachuma, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Aprili 17, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment