Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Mauritius nchini Mhe. Jean Pierre
Jhumun pamoja
na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt Edwin Mhede, Maafisa wa
Kituo cha uwekezaji na wa Ikulu baada ya kuonana na kufanya mazungumzo na balozi huyo
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari akiwa na Mhe. John
Chiligati aliyeongozana na Balozi wa Mauritius nchini Mhe. Jean Pierre
Jhumun, Mwenyekiti wa Kampuni ya Sugar Investment Trust (SIT)
ya Mauritius Bw. Gansam Boodram baada
ya kuonana na kufanya mazungumzo na balozi huyo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Aprili 17,2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mhe. John Chiligati aliyeongozana na Balozi wa Mauritius nchini Mhe. Jean Pierre
Jhumun, Mwenyekiti wa Kampuni ya Sugar Investment Trust (SIT)
ya Mauritius Bw. Gansam Boodram pamoja
na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Edwin Mhede baada
ya kuonana na kufanya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Aprili 17, 2019.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na Mwenyekiti wa
Kampuni ya Sugar Investment Trust (SIT) ya Mauritius Bw. Gansam
Boodram, Balozi
wa Mauritius nchini, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Dkt. Edwin Mhede pamoja na Maafisa
wa Kituo cha uwekezaji na wa Ikulu baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na balozi huyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment