Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia)
akisalimiana na Mhamasishaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Taifa Stars, Ndg. Peter
Mollel alimaarufu kama Pierre Liquid walipokutana leo katika Hoteli ya Nashera
Jijini Dodoma, kabla ya kumualika Bungeni kwa ajili ya kusikiliza Vikao vya
Bunge vilivyoanza jana Jijini Dodoma. Katikati ni Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen
Kagaigai.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia)
akisalimiana na Mhamasishaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Taifa Stars, Ndg. Peter
Mollel alimaarufu kama Pierre Liquid (Kushoto) walipokutana leo katika Hoteli ya
Nashera Jijini Dodoma, kabla ya kumualika Bungeni kwa ajili ya kusikiliza Vikao
vya Bunge vilivyoanza Jana Jijini Dodoma. Katikati ni Spika wa Bunge, Mhe. Job
Ndugai na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kushoto)
akifurahi jambo na Mhamasishaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Taifa Stars, Ndg. Peter
Mollel (wa pili kulia) alimaarufu kama Pierre Liquid walipokutana leo katika
Hoteli ya Nashera Jijini Dodoma, kabla ya kumualika Bungeni kwa ajili ya
kusikiliza Vikao vya Bunge vilivyoanza jana Jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Spika
wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili
kushoto) akiwa katika picha ya pamoja wakifurahi jambo na Mhamasishaji wa Timu
ya Mpira wa Miguu ya Taifa Stars, Ndg. Peter Mollel alimaarufu kama Pierre
Liquid ( wa tatu kushoto) walipokutana leo katika Hoteli ya Nashera Jijini
Dodoma, kabla ya kumualika Bungeni kwa ajili ya kusikiliza Vikao vya Bunge
vilivyoanza jana Jijini Dodoma. Wa tatu kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe.
Dkt. Tulia Ackson, Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kushoto), Mbunge wa Vijana
kutoka Mkoa wa Dodoma, Mhe. Miriam Ditopile (wa pili kulia) na Mwenyekiti wa
UVCCM Mkoa wa Dodoma, Ndg. Billy Chidabwa. (PICHA
NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment