HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 17, 2019

SIMBA YAENDELEZA UBABE LIGI KUU, YAICHAPA COASTAL UNION 2-1

Kocha wa Simba Patrick Aussems akimpongeza kiungo wa timu hiyo, Hassan Dilunga baada ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union ya Tanga mchezo uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga. Simba imeshinda 2-1. (Picha kwa hisani ya Simba). 

No comments:

Post a Comment

Pages