HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 16, 2019

TANZANIA, ETHIOPIA KUSHIRIKIANA KATIKA KUKUZA BIASHARA

Kaimu Rais wa Chemba ya Wafanyabiashara Wenye Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), Octavian Mshiu (kushoto), akizungumza na balozi wa Ethiopia nchini Tanzania, Yonas Yosef Sanbe, alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo Aprili 16, 2019 na kuzungumza mambo mbalimbali ikiwemo kukuza ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Ethiopia. (Picha na Francis Dande).
Kaimu Rais wa Chemba ya Wafanyabiashara Wenye Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), Octavian Mshiu (kushoto), akipeana mkono na balozi wa Ethiopia nchini Tanzania, Yonas Yosef Sanbe, kabla ya kuanza mazungumzo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages