HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 31, 2019

MAJALIWA AWAFUTURISHA WATUMISHI WA OFISI YA WAZIRI MKUU

  Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza katika futari aliyowaandalia watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge , Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama baada ya futari aliyowaadalia watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 28, 2019. Kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge), Bibi Maimuna Tarishi na wapili kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na  Uwekezaji), Bibi Dorothy Mwaluko. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).  

No comments:

Post a Comment

Pages