HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 27, 2019

MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KUAPISHWA RAIS WA COMORO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kumpongeza Rais Azali Assouman wa Comoro baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Visiwa vya Comoro leo May 26,20219 katika wa Uwanja Mpya wa Ominisport Malouzini Stadium Comoro.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Spika wa Bunge la Comoro Mhe. Ousseini Abdou kwenye uwanja Mpya wa Comoro wakati wa sherehe ya kuapishwa Rais Azali Assouman leo May 26,2019.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mke wa Rais wa moro Bibi Ambari Azali kwenye uwanja Mpya wa Ominisport Malouzini Stadium Comoro wakati wa sherehe ya kuapishwa Rais Azali Assouman leo May 26,2019.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Comoro Mhe. Souef Mohammed Al Amine kwenye Uwanja wa Mpya wa wa Ominisport Malouzini Stadium Comoro wakati wa sherehe ya kuapishwa Rais Azali Assouman leo May 26,2019.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Azali Assouman wa Comoro baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Visiwa vya Comoro leo May 26,20219.
 Makamu akiwa katika picha ya pamoja na Rais Azali wa Comoro na viongozi wa Serikali ya Commoro baada ya kuapishwa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

No comments:

Post a Comment

Pages