Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika na Mbunge wa
Shinyanga Mjini, Stephen Masele akizungumza Bungeni jijini Dodoma, Mei
23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwasilisha
Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wazara yake kwa Mwaka 2019/2020,
Bungeni jijini Dodoma, Mei 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Mhe. Stella Ikupa (aliyekaa
katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Time ya Taifa ya
Soka ya Walemavu- Tembo Worriors kwenye viwanja vya Bunge jijini
Dodoma, Mei 23, 2019. Waliosimama, wa tatu kushoto ni Mbunge wa
Kilolo, Venance Mwamoto, wa tatu kulia ni Mbunge wa Urambo, Margareth
Sitta na wa nne kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Amina Mollel. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment