Wachungaji watatu kutoka KKKT DMP na mmoja kutoka KKKT
Dayosisi ya Ziwa Victoria Shinyanga Wamehitimu katika Chuo Kikuu
cha Luther Seminary Minnesota nchini Marekani tarehe 19/05/2019 kama
ifuatavyo:- Rev. Dk. Ernest William Kadiva ametunukiwa Phd -
Doctor of Ministry, Wengine wametunukiwa Master of Arts degree
nao ni Rev. Kishe Dismas Mhando - na Rev. Kaanasia Geofrey Msangi, pia
Rev. Martha Ernest Ambarang'u wa Dayosis ya Ziwa Victoria Shinyanga
ametunukiwa Masters of Arts degree katika mahafali ya 150 iliyofanyika
hapa Central Lutheran Church, Minneapolis na kuhudhuriwa na mamia ya
wageni kutoka nchi mbalimbali na kutoka majimbo mbalimbali ya
Marekani. Picha kwa hisani ya Noah William Kadiva akiwa
Minnesota, Marekani.
Ndugu, jamaa na marafiki wakifurahia baada ya Rev. Dr. Ernest William Kadiva kutunukiwa Phd - Doctor of Ministry, na wengine waliotunukiwa Master of Arts degree Rev. Kishe Dismas Mhando - na Rev. Kaanasia Geofrey Msangi, pia Rev. Martha Ernest Ambarang'u wa Dayosis ya Ziwa Victoria Shinyanga.
Ndugu, jamaa na marafiki wakifurahia baada ya Rev. Dr. Ernest William Kadiva kutunukiwa Phd - Doctor of Ministry, na wengine waliotunukiwa Master of Arts degree Rev. Kishe Dismas Mhando - na Rev. Kaanasia Geofrey Msangi, pia Rev. Martha Ernest Ambarang'u wa Dayosis ya Ziwa Victoria Shinyanga.
Rev. Dr. Ernest William Kadiva akitunukiwa
Phd - Doctor of Ministry baada ya kuhitimu katika
Chuo Kikuu cha Luther Seminary Minnesota kwenye sherehe
zilizofanyika Central
Lutheran Church, Minneapolis, nchini Marekani.
KAWAIDA
Wachungaji watatu kutoka KKKT DMP na mmoja kutoka KKKT Dayosisi ya
Ziwa Victoria Shinyanga Wamehitimu katika Chuo Kikuu cha Luther
Seminary Minnesota nchini Marekani tarehe 19/05/2019 kama ifuatavyo:-
Rev. Dr. Ernest William Kadiva ametunukiwa Phd - Doctor of Ministry,
Wengine wametunukiwa Master of Arts degree nao ni Rev. Kishe Dismas
Mhando - na Rev. Kaanasia Geofrey Msangi, pia Rev. Martha Ernest
Ambarang'u wa Dayosis ya Ziwa Victoria Shinyanga ametunukiwa Masters
of Arts degree katika mahafali ya 150 iliyofanyika hapa Central
Lutheran Church, Minneapolis na kuhudhuriwa na mamia ya wageni kutoka
nchi mbalimbali na kutoka majimbo mbalimbali ya Marekani. Picha kwa
hisani ya Noah William Kadiva akiwa Minnesota, Marekani.
Ndugu, jamaa na marafiki wakifurahia baada ya Rev. Dr. Ernest
William Kadiva kutunukiwa Phd - Doctor of Ministry, na wengine
waliotunukiwa Master of Arts degree Rev. Kishe Dismas Mhando - na Rev.
Kaanasia Geofrey Msangi, pia Rev. Martha Ernest Ambarang'u wa Dayosis
ya Ziwa Victoria Shinyanga
Rev. Dr. Ernest William Kadiva akitunukiwa Phd - Doctor of Ministry
baada ya kuhitimu katika Chuo Kikuu cha Luther Seminary Minnesota
kwenye sherehe zilizofanyika Central Lutheran Church,
Minneapolis,nchini Marekani
No comments:
Post a Comment