Mabingwa
wa Ligi Kuu Tanzania Bara TPL Simba SC wamelazimishwa sare ya bao 1-1
na Biashara United Mtanange Uliochalazwa Uwanja Wa Taifa jijini Dar es
Salaam. Simba waliingia kwenye mchezo wa leo wakiwa wanahitaji kuweka
heshima kwan tayari walishatawazwa mabingwa baada ya kufikisha pointi 91
walipo ichanja Singida United Mabao 2~0.
Wakati
Bishara Waliingia Wakihtaj Point 3 Ili Kujinusua Ktk Dimbwi La Kushuka
Daraja. Kwa Matokeo ya Leo Simba Wamefikisha Point 92 huku Biashara
Wakifikisha Pointi 44 nafasi ya 15 wakihitaji pointi 3 mchezo wa mwisho
kubakia TPL msimu ujao.
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi, akiwania mpira na beki wa Biashara United katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1. (Na Mpiga Picha Wetu).
Baadhi ya mashabiki wa Simba.
Hekaheka katika lango la Biashara United.
Mashabiki wakiishangilia timu yao.
No comments:
Post a Comment