HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 25, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA KWA RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA JIJINI PRETORIA LEO

 Umati mkubwa wa wananchi unalipuka kwa shangwe na chereko wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili  katika uwanja wa michezo wa Loftus Versfeld jijini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuaishwa kwa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa leo Jumamosi Mei 25, 2019. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages