HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 28, 2019

SIMBA YAKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA WA TPL

 Mgeni rasmi katika pambano la Simba na Mtibwa Sugar, Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, akimkabidhi Nahodha Msaidizi wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Mtibwa Sugar ulioisha kwa suluhu.
Wachezaji wa Simba wakishanglia baada ya kukabidhiwa kombe la ubingwa wa TPL.
 Simba bingwa.
Mshambuliaji wa Azam FC, Obrey Chirwa kushoto, akijaribu kumtoka beki wa Yanga, Abdallah Haji, katika mchezo wa mwisho wa ligi kuu uliochezwa Uwanja wa Taifa. Azam imeshinda 2-0.

No comments:

Post a Comment

Pages