Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Rais wa Zimbabwe mheshimiwa Emmerson Mnangagwa mara baada ya kuwasili katika
uwanja wa ndege wa Robert Mugabe nchini Zimbabwe.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na
mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe mheshimiwa Emmerson Mnangagwa wakipokea zawadi
za maua kutoka kwa watoto wa Zimbabwe mara baada ya kuwasili katika uwanja wa
ndege wa Robert Mugabe nchini Zimbabwe.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na
mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe mheshimiwa Emmerson Mnangagwa wakiwa wamesimama wakati
nyimbo za taifa la Tanzania na Zimbabwe zilipokuwa zikipigwa mara baada ya
kuwasili nchini Zimbabwe.
No comments:
Post a Comment