HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 30, 2019

TANZANIA NA NAMIBIA ZATILIANA SAINI TAMKO LA PAMOJA LA MASHIRIKIANO KATIKA MASUALA MBALIMBALI

  Profesa Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki  pamoja na Mhe. Netumbo Nandi – Ndaitwah  Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wa Namibia wakitia saini tamko la pamoja la mashirikiano kuhusu masuala mbalimbali baina ya na Namibia Mjini Windhoek,Namibia May 28,2019.
Profesa Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki  pamoja na Mhe. Netumbo Nandi –
Ndaitwah  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa na
Ushirikiano  wa Namibia wakibadilishana nyaraka baada ya kutia saini
tamko la pamoja la mashirikiano kuhusu masuala mbalimbali baina ya
Tanzania na Namibia Mjini Windhoek,Namibia May 28,2019.


Profesa Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki  (Mb) pamoja na Mhe. Netumbo Nandi –
Ndaitwah  Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa na 
Ushirikiano (Mb) wa Namibia wakionesha kwa waandishi wa habari nyaraka
za tamko la pamoja la mashirikiano kuhusu masuala mbalimbali baina ya
Tanzania na Namibia walizotia saini  Mjini Windhoek,Namibia May
28,2019

Profesa Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki   pamoja na Mhe. Netumbo Nandi –
Ndaitwah  Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa na
Ushirikiano  waNamibia wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutia
saini na kubadilishana nyaraka za tamko la pamoja la mashirikiano
 kuhusu masuala mbalimbali baina ya Tanzania na Namibia walizotia saini
 Mjini Windhoek,Namibia May 28,2019. Kushoto ni kaimu balozi wa
Tanzania Nchini Afrika ya Kusini anayesimamia pia Namibia Bw. Richard
Lupembe na kulia ni Balozi wa Namibia nchini Tanzania Theresia
Samaria. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Pages