HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 29, 2019

Mgomo wa Mawakala wa Forodha Namanga

 MWENYEKITI wa Chama cha Mawakala wa Forodha nchini, (TAFFA), tawi la Namanga, Ismail Kesi, mwanzoni mwa wiki akizungumza wakati wa kikao cha mawakala hao kufuatia mgomo baridi wa zaidi ya siku nne kupinga tozo mpya isiyo ya kisheria iliyoanzishwa na wakala wa vipimo nchini, (WMA) kwenye mpaka huo. (Picha  na Grace Macha).
Mkurugenzi wa ufundi wa wakala wa vipimo nchini (WMA), Stella Kahwa, akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za taasisi hiyo zilizopo kwenye mpaka wa Namanga. (Picha  na Grace Macha).

No comments:

Post a Comment

Pages