HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

May 31, 2019

RAIS MAGUFULI AKABIDHI VITABU VYA LUGHA YA KISWAHILI KWA RAIS WA NAMIBIA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya vitabu vya Kamusi Kiswahili na Kingereza pamoja na Vitabu mbalimbali vya lugha ya Kiswahili kwa ajili ya kujifunza lugha hiyo. PICHA NA IKULU.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya Kinyago na Picha ya Wanyama mwenyeji wake Rais wa Namibia Mheshimiwa Hage Geingob mara baada ya mazungumzo yao katika Ikulu ya Namibi. 

No comments:

Post a Comment

Pages