Afisa
usajili laini za simu kutoka kampuni ya
Tigo Regan Emmanuel (wa kwanza
kulia), akisajili laini ya mteja wa kampuni hiyo kupitia utaratibu mpya ya
usajili wa laini za simu kwa njia ya alama za vidole katika mji wa Kiserikali
wa Mtumba jijini Dodoma leo. Kushoto ni afisa mwingine wa Tigo Jackson Jerry
akimsajili mteja.
Afisa
usajili laini za simu kutoka kampuni ya
Tigo Regan Emmanuel (wa kwanza
kulia), akisajili laini ya mteja wa kampuni hiyo kupitia utaratibu mpya ya
usajili wa laini za simu kwa njia ya alama za vidole katika mji wa Kiserikali
wa Mtumba jijini Dodoma leo. Kulia kwake ni Ofisa mwingine wa Tigo Jackson Jerry.
Afisa
usajili laini za simu kutoka kampuni ya
Tigo Regan Emmanuel (kushoto),
akisajili laini ya mteja wa kampuni hiyo kupitia utaratibu mpya ya usajili wa
laini za simu kwa njia ya alama za vidole katika mji wa Kiserikali wa Mtumba jijini Dodoma. Kulia ni Ofisa mwingine wa Tigo Placida Jamson.
No comments:
Post a Comment