HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 28, 2019

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGA MAFUNZO YA SABA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza  maandamano  kwa Wahitimu wa Mahafali  ya Saba ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi  Jijini Dar es salaam leo Julai 27, 2019.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na  Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi  Jijini Dar es salaam Luteni Jeneral  Paul Peter Massao wakati wa Mahafali ya Saba ya Chuo Hicho leo Julai 27, 2019.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifunga Mafunzo kwa Wahitimu wa Mahafali ya Saba wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi  Jijini Dar es salaam leo Julai 27, 2019.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Cheti  Mindi H. P. Kasiga Mmoja kati ya Wahitimu wa Mahafali  ya Saba ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi  Jijini Dar es salaam leo Julai 27, 2019.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Brigedia General Mohamed Ahmed Montaser  kutoka  Egypt  ambae ni Mmoja kati ya Wahitimu wa Mahafali  ya Saba ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi  Jijini Dar es salaam leo Julai 27, 2019.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Brigedia Gegeral Mbaraka Naziad Mkeremy wa JWTZ Mmoja kati ya Wahitimu wa Mahafali  ya Saba ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi  Jijini Dar es salaam leo Julai 27, 2019.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na na Viongozi na Wahitimu wa Mahafali  ya Saba ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi  Jijini Dar es salaam leo Julai 27, 2019.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na CDF Mstaafu George Waitara walipokutana kwenye Mahafali  ya Saba ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi  Jijini Dar es salaam leo Julai 27, 2019.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kumpongeza  Mindi H. P. Kasiga Mmoja kati ya Wahitimu wa Mahafali  ya Saba ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi  Jijini Dar es salaam leo Julai 27, 2019.

No comments:

Post a Comment

Pages