Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa marehemu
Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam, mara baada ya
kuwasili nyumbani kwa Marehemu Salasala
kwa ajili ya kutoa pole kwa Familia Julai 30,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akisaini
kitabu cha maombolezo nyumbani
kwa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai
28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam, kabla ya
kutoa pole kwa Familia na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu. Julai
30,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akitoa
pole kwa Familia ya Marehemu Meja Jenerali
Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya
Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam ikiongozwa na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa
Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni
kaka wa Marehemu nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza
na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa

kaka wa Marehemu mara
baada ya kutoa pole kwa
Familia ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia
julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza
na Familia ya Marehemu Meja Jenerali
Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya
Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam ikiongozwa na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa
Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni
kaka wa Marehemu nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akiomba dua maalumu na Familia ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu
Albert Lameck Mbowe, aliyefariki dunia Julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili Jijini Dar es Salaam iliyoongozwa na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai
na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka
wa Marehemu nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza baada ya kuomba
dua maalumu na Familia ya Marehemu Meja Jenerali
Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya
Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam iliyoongozwa na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge
wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia
ni kaka wa Marehemu nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza
na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa
Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni
kaka wa Marehemu
pole kwa Familia ya Marehemu Meja Jenerali
Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya
Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alipowatembelea nyumbani kwao Salasala Dsm
kwaajili ya kutoa pole kufuatia msiba huo. Julai 30,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akiagana
na Waombolezaji wengine akiwa ameambatana na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe
aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar
es Salaam mara baada ya kutoa pole kufuatia msiba huo nyumbani kwao Salasala
Dsm. Julai 30,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza
na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa
Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni
kaka wa Marehemu
pole kwa Familia ya Marehemu Meja Jenerali
Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya
Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alipowatembelea nyumbani kwao Salasala Dsm
kwaajili ya kutoa pole kufuatia msiba huo. Julai 30,2019.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akiagana na Mhe.
Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu Meja Jenerali
Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya
Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam mara baada ya kutoa pole kufuatia msiba
huo nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019. PICHA NA IKULU.
Na Mwandishi Wetu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 30 Julai, 2019 ametoa pole kwa familia, kufuatia kifo cha Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam.
Mhe. Rais Magufuli amekwenda nyumbani kwa Marehemu Salasala Jijini Dar es Salaam na kukutana na familia ikiongozwa na Mhe. Freeman Mbowe ambaye ni Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Pamoja na kutia saini kitabu cha maombolezo, Mhe. Rais Magufuli ameungana na familia hiyo katika sala ya pamoja ya kumuombea Marehemu Meja Jen. Mstaafu Albert Lameck Mbowe.
Baada ya sala hiyo, Rais Magufuli ameitaka familia hiyo iendelee kuwa na umoja na kumtanguliza Mwenyezi Mungu.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jen. Venance Salvatory Mabeyo amesema pamoja na kustaafu Meja Jen. Mbowe alikuwa mshauri wa karibu wa Jeshi.
Amesema katika utumishi wake wa miaka 36 na siku 27 Jeshini, Meja Jen. Mstaafu Mbowe alitoa mchango mkubwa katika masuala ya fedha.
Meja Jen. Mstaafu Mbowe alizaliwa Januari 1953, alijiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) mwaka 1973 na alistaafu utumishi Jeshini mwaka 2009.
No comments:
Post a Comment