Mshambulia
wa timu ya Taifa Stars, John Bocco (kushoto), akijaribu kuwatoka
wachezaji wa
timu ya Kenya katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya chan kwa
wachezaji wanaocheza Ligi za Ndani uliofanyika leo kwenye Uwanja wa
Taifa Dar es Salaam. Picha na John Dande.
Mshambulia wa timu ya Taifa Stars, John Bocco (kushoto), akijaribu kuwatoka wachezaji wa
timu ya Kenya katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya chan kwa wachezaji wanaocheza Ligi za Ndani uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Picha na John Dande
Mcheazji wa timu ya Taifa Stars Hassan Dirunga (katikati), akiwatoka wachezaji
wa Kenya katika mchezo wa kuwania kufuzu
michuano ya chan kwa wachezaji wa ndani uliochezwa leo Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Kikosi cha Harambee Stars.
Kikosi cha Taifa Stars.
Hekaheka langoni mwa Harambee Stars.
Baadhi ya mashabiki waliofika kushuhudia pambano la Taifa Stars na Harambee Stars.
No comments:
Post a Comment