Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipotembelea
maonyesho ya Nanenane yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu, Agosti 8, 2019. Kulia ni Waziri wa Kilimo,
Japhet Hasunga, kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,
Zainab Tellak na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam
Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua pamba wakati alipotembelea
Chama cha Ushirika cha msingi cha Itemelo, eneo la Dutwa mkoani Simiyu,
Agosti 8, 2019. Wa tatu kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally,
Wa nne kulia ni Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga na wa tano kulia ni
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Japhet Hasunga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisaidiana na Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga
(kulia) na Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka wa nne kulia)
kupandisha pamba kwenye mzani wa kielektroniki wakati alipokaguaununuzi
wa pamba kwenye Chama cha Ushirika cha Msingi cha Itemelo, eneo la Dutwa
mkoani Simiyu, Agosti 8, 2019. Wa tatu kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Dkt
Bashiru Ally. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment