Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi
wakati alipowasili kwenye hoteli ya Yokohama Bay nchini Japan Agosti
26, 2019, ambako anatarajiwa kushiriki kwenye mkutano wa TICAD 7 na
kufanya ziara ya kikazi nchini humo. Kulia ni Kaimu Balozi wa Tanzania
nchini Japan, John Kambona.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi wakati
alipowasili kwenye hoteli ya Yokohama Bay nchini Japan Agosti 26,
2019, ambako anatarajiwa kushiriki kwenye mkutano wa TICAD 7 na
kufanya ziara ya kikazi nchini humo. Kulia ni Kaimu Balozi wa Tanzania
nchini Japan, John Kambona.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya maofisa wa
serikali ya Tanzania wakati alipowasili kwenye hoteli ya Yokohama Bay
nchini Japan Agosti 26, 2019, amabako anatarajiwa kushiriki kwenye
mkutano wa TICAD 7 na kufanya ziara ya kikazi nchini humo. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment