Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivishwa Beji
kama ishara ya kukabidhiwa Uenyekiti wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa
Afrika kutoka kwa Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Rais wa Namibia Mheshimiwa
Dkt. Hage Geingob katika mkutano uliofanyika ukumbi wa Julius Nyerere
International Convention Centre JNICC jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama na
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba
Kabudi pamoja na Wakuu mbalimbali wa nchi za SADC wakati wa wimbo wa Taifa
ulipokuwa ukipigwa kabla ya kuaza kwa mkutano wa 39 wa Wakuu wa nchi na
Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Marais Wastaafu,
Mawaziri Wakuu Wastaafu, Wake wa Marais pamoja na wageni mbalimbali kutoka
ndani na nje ya Tanzania wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa kabla
ya ufunguzi wa mkutano wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa
SADC aliyemaliza muda wake Rais wa Namibia Mheshimiwa Dkt. Hage Geingob
akifurahia jambo na Rais wa Afrika Kusini Mheshimiwa Cyril Ramaphosa
katika mkutano wa wa 39 wa Wakuu wa nchi
na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika
jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia
ni Mwenyekiti wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)
akihutubia katika mkutano wa wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa
Afrika SADC mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa wa 39 wa Wakuu wa nchi na
Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika jijini
Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza
kikao cha Ndani cha Wakuu wa nchi na
Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza
kikao cha Ndani cha Wakuu wa nchi na
Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza
kikao cha Ndani cha Wakuu wa nchi na
Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emerson Mnangagwa kwa ajili ya kikao
cha Wakuu wa Nchi za SADC jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamini Mkapa mara baada ya
kuhutubia katika wa mkutano wa wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADIC) uliofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto
ni Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete na kulia ni Rais Mstaafu
wa awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi . PICHA
NA IKULU.
No comments:
Post a Comment