HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 30, 2019

WAZIRI LUGOLA, WATENDAJI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAJADILI UTENDAJI KAZI WA WIZARA HIYO, JIJINI DA R ES SALAAM, LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto) akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu, alipokua akimfafanulia jambo katika kikao kazi cha Watendaji wa Wizara hiyo (hawapo pichani), kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment

Pages