HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 11, 2019

JUMA CHOKI AJIFUA KUMKABIRI MWAKYEMBE SEPTEMBA 15 KATIKA KING OF THE RING


Bondia Juma Choki kushoto akioneshana umwamba na bondia wa Kimataifa ambaye alishawai kuishi nchini Marekani miezi takribani 8 kwa ajili ya mchezo wa masumbwi nchini humu Ibrahimu Class 'KING CLASS MAWE' Choki anajiandaa na mpambano wake wa fainal dhidi ya Emanuel Mwakyembe septemba 15 katika ukumbi wa bucket club uliopo Masaki Dar es salaam

Bondia Juma Choki kushoto akioneshana umwamba na Ibrahimu Makubi wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Super D Coach iliyopo kariakoo.

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akioneshana umwamba na Juma Choki wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kamba ya Super D coach Shule ya Uhuru Dar es Salaam jana.

Bondia Alex Kachelewa kushoto akitupiana makonde na Juma Choki wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Super D coach shule ya Uhuru .

Bondia wa Kimataifa nchini Tanzania ambaye alishawai kuka nchini Marekani kwa Takribani ya miezi nane kwa ajili ya mcheszo wa masumbwi Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto' akioneshana umwamba na Juma Choki anayejiandaa na mpambano wake dhidi ya Emanuel Mwakyembe utakaofanyika septemba 15 katika ukumbi wa Backet club ulipo masaki.

Bondia wa Kimataifa nchini Tanzania ambaye alishawai kuka nchini Marekani kwa Takribani ya miezi nane kwa ajili ya mcheszo wa masumbwi Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto' akioneshana umwamba na Juma Choki anayejiandaa na mpambano wake dhidi ya Emanuel Mwakyembe utakaofanyika septemba 15 katika ukumbi wa Backet club ulipo masaki.
 


Na Mwandishi Wetu

Bondia Juma Choki anaye jiandaa na mbambano wake dhidi ya Emanuela Mwakyembe septemba 15 katika ukumbi wa bucket Clab uliopo Masaki jijini Dar es es salaam amejinasibu kumtwanga bondia huyo na kuchukuwa ubingwa wa king of The Ring

akijinasibu bondia huyo alivyotembelewa kambini kwake kwa Super D Coach iliyopo shule ya Uhuru Jijini Dar es salaam


Amesema kuwa mwakembe ana uwezo wa kukanyaga moto wake ata siku moja huko alikutana na viande sasa kaja kwenye kazi kazi hapo ndipo pa kuoneshana uwezo kama anavyosemaga kocha Super D Kazi Kazi No Pain No Gain yani siku hiyo patachimbika hivyo mwakyembe ajipange sana kwana mazoezi ninayofanya na mbinu ninazofundishwa sio za kitoto hatari tupu


Nae kocha wa bondia huyo Rajabu Mhamila 'Super D' amesema hii ni vita kubwa sana kwa kuwa kocha wa mwakyembe Edward Lwiyakwipya wamesoma nae pamoja katika ngazi kubwa ya kozi ya kimataifa hata hivyo mimi nina mbinu nyingi zaidi yake ata hivyo nita akikisha napata ushindi usiokuwa wa kuwachosha majaji hivyo matumaini yangu ni kumpiga k,o mbaya zaidi


ikumbukwe kuwa mabondia wote wenye viwango vya juu nchini wanatoka kwangu ukiangalia mabondia wote wakubwa wanatoka kwangu na wana viwango vya kimataifa hivyo najivunia kwa hilo ukiangalia mabondia wanaotoka kwangu akuna ata mchovyu mmoja alijinasibu Super D


Aliongeza kwa kusema mikono yake wamepita mabondia wengi sana akiwemo Sanday Kiwale, Idd Mkwera Vicent Mbilinyi Ibrahimu Class' King Class Mawe' Shomali Milundi Shabani Kaoneka na mabondia mbalimbali nchini wote wamepita katika mikono yangu kwa njia moja au nyingine hapa ndio No Pain No Gain kazi kazi hivyo wapenzi wa ngumi muje kwa wingi kuangalia kazi hii ambayo haita muacha mtu salama

No comments:

Post a Comment

Pages