HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 11, 2019

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA BALOZI WA PAKISTAN BUNGENI JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Pakistan nchini Tanzania, Mhe. Amir Muhammad Khan alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge).
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimkaribisha Balozi wa Pakistan nchini Tanzania, Mhe. Amir Muhammad Khan alipomtembelea leo Ofisini kwake Bunge Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Pakistan nchini Tanzania, Mhe. Amir Muhammad Khan alipomtembelea leo Ofisini kwake Bunge Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipokea ujumbe maalum kutoka kwa Balozi wa Pakistan nchini Tanzania, Mhe. Amir Muhammad Khan alipomtembelea leo Ofisini kwake Bunge Jijini Dodoma. Ujumbe huo ameuwasilisha kwa niaba ya Spika wa Bunge la Pakistan

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) katika picha ya pamoja na Balozi wa Pakistan nchini Tanzania, Mhe. Amir Muhammad Khan alipomtembelea leo Ofisini kwake Bunge Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Pages