HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 04, 2019

WAJUMBE CPA KANDA YA AFRIKA WAPATIWA SEMINA KUHUSU MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KATIKA KUENDELEZA DEMOKRASIA VISIWANI ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika Tawi la Zanzibar, Mhe. Simai Mohamed Said akiwasilisha maada kuhusu Matumizi ya Teknolojia katika kuendeleza demokrasia mbele ya Wanachama wa Jumuiya hiyo katika hoteli Madinat Al Bahr Business and Spa Visiwani Zanzibar.
Makamu wa Rais wa kwanza Chama cha Mabunge Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika Tawi la Zambia, Mhe. Dkt. Evans Chibanda akizungumza wanachama wa jumuiya hiyo wakati wa semina ya Matumizi ya Teknolojia katika kuendeleza demokrasia katika hoteli Madinat Al Bahr Business and Spa Mjini Zanzibar. Kulia ni Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Rebecca Kadaga na Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Zanzibar, Mhe. Simai Mohamed Said.
Wanachama Chama Cha Mabunge Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika wakifuatilia mjadala katika semina iliyohusu Matumizi ya Teknolojia katika kuendeleza demokrasia katika hoteli Madinat Al Bahr Business and Spa Visiwani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Pages