HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 08, 2019

MAJALIWA AWASILI MKOANI LINDI

Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Lindi, Oktoba 8, 2019. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri  Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Pages