HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 10, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA TABORA-KOGA MPANDA KM 342.9, AFUNGUA BARABARA YA STALIKE MPANDA KM 36.9 PAMOJA NA STAND YA MABASI YA MIZENGO PINDA MPANDA MKOANI KATAVI

Rais Dk. John Magufuli akimshukuru Meneja Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) nchini Tanzania, Dk. Alex Mubiru, mara baada ya kuweka jiwe la msingi la uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Tabora-Koga-Mpanda km. 342.9 inayojengwa kwa kiwango cha lami katika hafla iliyofanyika mkoani Katavi.  (Picha na Ikulu).
Sehemu ya Barabara ya Mpanda –Stalike iliyokamilika
kujengwa kwa kiwango cha lami.

No comments:

Post a Comment

Pages