Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Wanafunzi wa Isukumilo na Mpanda Sekondari wakati akielekea Wilaya Mpya ya
Tanganyika.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi na wafanyakazi wa
Tanesco mara baada ya kuweka la msingi
mradi wa umeme wa kuunganisha mkoa wa Katavi kwenye Gridi ya Taifa kwa
njia ya msongo wa Kilovolti 132 kutoka mkoani Tabora katika sherehe fupi
zilizofanyika nje kidogo ya manispaa ya Mpanda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi na wafanyakazi wa
Tanesco mara baada ya kuweka la msingi
mradi wa umeme wa kuunganisha mkoa wa Katavi kwenye Gridi ya Taifa kwa
njia ya msongo wa Kilovolti 132 kutoka mkoani Tabora katika sherehe fupi
zilizofanyika nje kidogo ya manispaa ya Mpanda.
Wanakwaya ya Agape
wakitumbuiza katika uwanja wa Azimio Mpanda mkoani Katavi mara baada ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili
uwanjani hapo.
Kwaya
ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mpanda Girls wakitumbuiza mara baada ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili
uwanjani hapo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, Viongozi wa
Mkoa wa Katavi, Mawaziri pamoja na Wabunge akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la
msingi mradi wa umeme wa kuunganisha
mkoa wa Katavi kwenye Gridi ya Taifa kwa njia ya msongo wa Kilovolti 132 kutoka
mkoani Tabora katika sherehe fupi zilizofanyika nje kidogo ya manispaa ya
Mpanda.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri
wa Nishati Dkt. Medard Kalemani mara baada ya kuweka la msingi mradi wa umeme wa kuunganisha mkoa wa Katavi
kwenye Gridi ya Taifa kwa njia ya msongo wa Kilovolti 132 kutoka mkoani Tabora
katika sherehe fupi zilizofanyika nje kidogo ya manispaa ya Mpanda. (Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment